Warumi 12:5
vivyo hivyo na sisi tulio wengi, tu mwili mmoja katika Kristo, nasi kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So we, being many, are one body in Christ, and every one members one of another.
In Context
4Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
Cross References
Romans 12:4Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
1 Corinthians 10:33kama hata mimi ninavyojaribu kumpendeza kila mtu kwa kila namna. Kwa maana sitafuti mema kwa ajili yangu mwenyewe bali kwa ajili ya wengi, ili waweze kuokolewa.
1 Corinthians 12:20Kama ulivyo, una viungo vingi, lakini mwili ni mmoja.
Ephesians 1:23ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.
Ephesians 5:23Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake.
Colossians 1:24Sasa nafurahia kule kuteseka kwangu kwa ajili yenu, na katika mwili wangu ninatimiliza yale yaliyopungua katika mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, ambao ni kanisa.