Warumi 14:11
Kwa kuwa imeandikwa: 1 “ ‘Kama vile niishivyo,’ asema Bwana, 1 ‘kila goti litapigwa mbele zangu, 2 na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mungu. 1 Usimfanye Ndugu Yako Ajikwae
Cross References
Numbers 14:28Hivyo waambie, ‘Hakika kama niishivyo, asema Bwana, nitawafanyia vitu vilevile nilivyosikia mkisema:
Isaiah 45:22“Nigeukieni mimi, nanyi mkaokolewe, 2 enyi miisho yote ya dunia; 1 kwa maana mimi ndimi Mungu, 2 wala hapana mwingine. 1
Jeremiah 22:24“Hakika kama niishivyo,” asema Bwana, “hata kama wewe, Yekonia + 22:24 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ungekuwa pete yangu ya muhuri katika mkono wangu wa kuume, bado ningekungʼoa hapo.
Zephaniah 2:9Hakika, kama niishivyo,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mungu wa Israeli, 1 “hakika Moabu itakuwa kama Sodoma, 2 Waamoni kama Gomora: 1 mahali pa magugu na mashimo ya chumvi, 2 nchi ya ukiwa milele. 1 Mabaki ya watu wangu watawateka nyara; 2 mabaki ya taifa langu watarithi nchi yao.” 1
Romans 10:9Kwa sababu kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba “Yesu ni Bwana,” na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
Philippians 2:10ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, 2 la vitu vya mbinguni, na vya duniani, 2 na vya chini ya nchi, 1