Romans 14:12
Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mungu. 1 Usimfanye Ndugu Yako Ajikwae
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So then every one of us shall give account of himself to God.
In Context
Cross References
Ecclesiastes 11:9Furahi ewe kijana, wakati ungali kijana, 2 moyo wako na ukupe furaha 2 katika siku za ujana wako. 1 Fuata njia za moyo wako 2 na chochote macho yako yaonayo, 1 lakini ujue kwamba kwa ajili ya haya yote 2 Mungu atakuleta hukumuni. 1
Matthew 16:27Kwa maana Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake, naye ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.
Luke 16:2Hivyo huyo tajiri akamwita na kumuuliza, ‘Ni mambo gani haya ninayoyasikia kukuhusu? Toa taarifa ya usimamizi wako, kwa sababu huwezi kuendelea kuwa msimamizi.’
1 Peter 4:5Lakini itawapasa wao kutoa hesabu mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.