Warumi 14:16
Usiruhusu kile ambacho unakiona kuwa chema kisemwe kuwa ni kiovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let not then your good be evil spoken of:
In Context
17Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa, bali ni haki, amani na furaha katika Roho Mtakatifu.
Cross References
Ruth 3:14Hivyo huyo mwanamke akalala miguuni pake mpaka asubuhi, akaondoka mapema pasipo mtu kuweza kumtambua mwenzake, maana Boazi alisema, “Isijulikane kabisa ya kuwa mwanamke alifika kwenye sakafu ya kupuria.”
1 Corinthians 10:29Nina maana dhamiri ya huyo aliyekuambia, wala si kwa ajili ya dhamiri yako. Lakini kwa nini uhuru wangu uhukumiwe na dhamiri ya mtu mwingine?
1 Thessalonians 5:22Jiepusheni na uovu wa kila namna.