Romans 14:19
Kwa hiyo na tufanye bidii kutafuta yale yaletayo amani na kujengana sisi kwa sisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 34:14Aache uovu, atende mema, 2 aitafute amani na kuifuatilia. 1
Matthew 5:9Heri walio wapatanishi, 2 maana hao wataitwa wana wa Mungu. 1
Romans 12:18Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.
1 Corinthians 7:15Lakini kama yule asiyeamini akijitenga, basi afanye hivyo. Katika hali kama hiyo mwanamke au mwanaume aaminiye hafungwi, kwa sababu Mungu ametuita tuishi kwa amani.
1 Corinthians 14:12Vivyo hivyo na ninyi. Kwa kuwa mnatamani kuwa na karama za rohoni, jitahidini kuzidi sana katika karama kwa ajili ya kulijenga kanisa.
2 Corinthians 12:19Je, mmekuwa mkifikiri kwamba sisi tunajaribu kujitetea mbele yenu? Sisi tumekuwa tukinena mbele za Mungu kama wale walio katika Kristo. Na chochote tufanyacho, ndugu wapendwa, ni kwa ajili ya kuwatia nguvu.