The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 5 › Matthew 5:9

Matthew 5:9

Heri walio wapatanishi, 2 maana hao wataitwa wana wa Mungu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed are the peacemakers: for they shall be called the children of God.

In Context

8Heri walio na moyo safi, 2 maana hao watamwona Mungu. 1

10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.

Read all of Matthew 5

Cross References

1 Chronicles 12:17Daudi akatoka nje kuwalaki na akawaambia, “Kama mmekuja kwangu kwa amani, kunisaidia, mimi niko tayari kuwaruhusu ninyi kuungana nami. Lakini kama mmekuja ili kunisaliti kwa adui zangu wakati mimi mikono yangu haina hatia, basi Mungu wa baba zetu aone na awahukumu.”

Psalms 82:6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; 2 ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 1

Psalms 122:6Omba kwa ajili ya amani ya Yerusalemu: 2 “Wote wakupendao na wawe salama. 1

Matthew 5:48Kwa hiyo kuweni wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

Luke 20:36Hawa hawawezi kufa tena, kwa maana wao ni kama malaika. Wao ni watoto wa Mungu, kwa sababu ni watoto wa ufufuo.

Romans 8:14Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio watoto wa Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 5:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 5:8Matthew 5Matthew 5:10 →