Warumi 15:11
Tena, 1 “Msifuni Bwana, ninyi watu wa Mataifa wote, 2 na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And again, Praise the Lord, all ye Gentiles; and laud him, all ye people.
In Context
10Tena yasema, 1 “Enyi watu wa Mataifa, furahini 2 pamoja na watu wa Mungu.”
Cross References
Psalms 117:1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; 2 mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 1