The Bible Software
bible.software › Warumi › Warumi 15 › Warumi 15:10

Warumi 15:10

Tena yasema, 1 “Enyi watu wa Mataifa, furahini 2 pamoja na watu wa Mungu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And again he saith, Rejoice, ye Gentiles, with his people.

In Context

9pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: 1 “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako.”

11Tena, 1 “Msifuni Bwana, ninyi watu wa Mataifa wote, 2 na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”

Read all of Warumi 15

Cross References

Psalms 66:1Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! 2

Psalms 68:32Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia, 2 mwimbieni Bwana sifa, 1

Psalms 98:3Ameukumbuka upendo wake 2 na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; 1 miisho yote ya dunia imeuona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1

Isaiah 24:14Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, 2 kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 15:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 15:9Warumi 15Warumi 15:11 →