Romans 15:13
Mungu wa tumaini awajaze ninyi furaha yote na amani katika kumwamini, ili mpate kujawa na tumaini tele kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. 1 Paulo Mhudumu Wa Watu Wa Mataifa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 55:12Mtatoka nje kwa furaha 2 na kuongozwa kwa amani; 1 milima na vilima 2 vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu, 1 nayo miti yote ya shambani 2 itapiga makofi. 1
Joel 3:16Bwana atanguruma kutoka Sayuni 2 na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; 2 dunia na mbingu vitatikisika. 1 Lakini Bwana atakuwa kimbilio la watu wake, 2 ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. 1 Baraka Kwa Watu Wa Mungu 1
John 14:27Amani nawaachia, amani yangu nawapa, amani hii niwapayo si kama ile ulimwengu utoayo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiogope.
Romans 12:12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.
Romans 15:5Mungu atoaye saburi na faraja, awajalie ninyi roho ya umoja miongoni mwenu mnapomfuata Kristo Yesu,
2 Corinthians 9:8Naye Mungu aweza kuwapa kila baraka kwa wingi, ili katika mambo yote kila wakati, mwe na kila kitu mnachohitaji, ili mweze kushiriki kwa wingi katika kila kazi njema.