John 14:27
Amani nawaachia, amani yangu nawapa, amani hii niwapayo si kama ile ulimwengu utoayo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiogope.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 6:26Bwana akugeuzie uso wake 2 na kukupa amani.” ’
Job 34:29Lakini kama akinyamaza kimya, 2 ni nani awezaye kumhukumu? 1 Kama akiuficha uso wake, 2 ni nani awezaye kumwona? 1 Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 2
Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1
Psalms 29:11Bwana huwapa watu wake nguvu; 2 Bwana huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.
Psalms 56:11katika Mungu ninatumaini, sitaogopa. 2 Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 1
Psalms 72:7Katika siku zake wenye haki watastawi; 2 mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma. 1