Warumi 15:23
Lakini sasa kwa kuwa hakuna nafasi zaidi kwa ajili yangu katika sehemu hii, ninatamani kuja kwenu kama ambavyo nimekuwa na shauku kwa miaka mingi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu. 1 Paulo Apanga Kwenda Rumi
Cross References
Romans 1:10katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.
Romans 15:32ili kwa mapenzi ya Mungu niweze kuja kwenu kwa furaha, nami niburudishwe pamoja nanyi.
2 Timothy 1:4Nikiyakumbuka machozi yako, ninatamani sana kukuona ili nipate kujawa na furaha.