Warumi 15:29
Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Kristo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 16:11Umenijulisha njia ya uzima; 2 utanijaza na furaha mbele zako, 1 pamoja na furaha za milele 2 katika mkono wako wa kuume.
Romans 1:10katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.
Ephesians 3:8Ingawa mimi ni mdogo kuliko aliye mdogo kabisa miongoni mwa watakatifu wote, nilipewa neema hii: ili niwahubirie watu wa Mataifa kuhusu utajiri usiopimika ulio ndani ya Kristo,
Ephesians 4:13mpaka sote tutakapoufikia umoja katika imani na katika kumjua sana Mwana wa Mungu na kuwa watu wazima kwa kufikia kimo cha ukamilifu wa Kristo.