Warumi 15:30
Basi, ndugu zangu, nawasihi kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na kwa upendo wa Roho Mtakatifu, kujiunga nami katika taabu zangu mkiniombea kwa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Kristo.
Cross References
Psalms 143:10Nifundishe kufanya mapenzi yako, 2 kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu, 1 Roho wako mwema na aniongoze 2 katika nchi tambarare. 1
2 Corinthians 4:5Kwa maana hatujihubiri sisi wenyewe ila tunamhubiri Yesu Kristo kuwa ni Bwana na sisi ni watumishi wenu kwa ajili ya Yesu.
2 Corinthians 12:10Hii ndiyo sababu, kwa ajili ya Kristo, nafurahia udhaifu, katika kutukanwa, katika taabu, katika mateso na katika shida, kwa maana ninapokuwa dhaifu, ndipo nina nguvu. 1 Wasiwasi Wa Paulo Kwa Wakorintho
Ephesians 6:19Niombeeni na mimi pia, ili kila nifunguapo kinywa changu, nipewe maneno ya kusema, niweze kutangaza siri ya Injili kwa ujasiri,
Colossians 1:8ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho.
Colossians 4:12Epafra, ambaye ni mmoja wenu na mtumishi wa Kristo Yesu, anawasalimu. Yeye siku zote anawaombea kwa bidii kwamba msimame imara katika mapenzi yote ya Mungu, mkiwa wakamilifu na thabiti.