Romans 15:8
Kwa maana nawaambia kwamba, Kristo amekuwa mtumishi kwa wale waliotahiriwa ili kuonyesha kweli ya Mungu na kuthibitisha zile ahadi walizopewa baba zetu wa zamani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Karibishaneni ninyi kwa ninyi kama Kristo alivyowakaribisha ninyi ili kumletea Mungu utukufu.
Cross References
Isaiah 24:15Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni Bwana utukufu, 2 liadhimisheni jina la Bwana, Mungu wa Israeli, 2 katika visiwa vya bahari. 1
Matthew 15:24Yesu akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.”
Luke 1:54Amemsaidia mtumishi wake Israeli, 2 kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 1
John 1:11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Acts 3:25Ninyi ndio wana wa manabii na wa Agano ambalo Mungu alifanya na baba zenu, akimwambia Abrahamu, ‘Kupitia kwa uzao wako, watu wote wa ulimwengu watabarikiwa.’
Romans 3:3Ingekuwaje kama wengine hawakuwa na imani? Je, kutokuamini kwao kungebatilisha uaminifu wa Mungu?