The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 15 › Warumi 15:9

Warumi 15:9

pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: 1 “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And that the Gentiles might glorify God for his mercy; as it is written, For this cause I will confess to thee among the Gentiles, and sing unto thy name.

In Context

8Kwa maana nawaambia kwamba, Kristo amekuwa mtumishi kwa wale waliotahiriwa ili kuonyesha kweli ya Mungu na kuthibitisha zile ahadi walizopewa baba zetu wa zamani,

10Tena yasema, 1 “Enyi watu wa Mataifa, furahini 2 pamoja na watu wa Mungu.”

Read all of Warumi 15

Cross References

2 Samuel 22:50Kwa hiyo nitakusifu, Ee Bwana, 2 katikati ya mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako. 1

Psalms 57:9Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; 2 nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 1

Romans 3:29Je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi peke yao? Je, yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Naam, yeye ni Mungu wa watu wa Mataifa pia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 15:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 15:8Warumi 15Warumi 15:10 →