Romans 16:19
Kila mtu amesikia juu ya utii wenu, nami nimejawa na furaha tele kwa ajili yenu. Lakini nataka mwe na hekima katika mambo mema na bila hatia katika mambo maovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 101:2Nitazingatia kuishi maisha yasiyo na lawama: 2 utakuja kwangu lini? 1 Nitatembea nyumbani mwangu 2 kwa moyo usio na lawama. 1
Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1
Luke 10:3Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu.
1 Corinthians 14:20Ndugu zangu, msiwe kama watoto katika kufikiri kwenu, afadhali kuhusu uovu mwe kama watoto wachanga, lakini katika kufikiri kwenu, mwe watu wazima.
Ephesians 5:17Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana.
Philippians 2:15ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni.