Romans 2:18
kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Tazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea sheria na kujisifia uhusiano wako na Mungu,
19kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,
Cross References
Deuteronomy 4:8Nalo ni taifa gani jingine lililo kubwa hivi lenye kuwa na amri na sheria za haki kama hizi ninazoweka mbele yenu leo?
Psalms 19:8Maagizo ya Bwana ni kamili, 2 nayo hufurahisha moyo. 1 Amri za Bwana huangaza, 2 zatia nuru machoni. 1
Psalms 119:104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako, 2 kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu. 2 Nuru Kutoka Kwenye Sheria Ya Bwana 1
Psalms 147:19Amemfunulia Yakobo neno lake, 2 sheria zake na maagizo yake kwa Israeli. 1
Luke 12:47“Yule mtumishi anayefahamu vyema mapenzi ya bwana wake na asijiandae wala kufanya kama apendavyo bwana wake, atapigwa kwa mapigo mengi.
Romans 15:4Kwa maana kila kitu kilichoandikwa zamani, kiliandikwa kutufundisha, ili kwamba kwa saburi na faraja tunayopata katika Maandiko tuwe na tumaini.