Warumi 10:16
Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But they have not all obeyed the gospel. For Esaias saith, Lord, who hath believed our report?
In Context
17Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Cross References
Isaiah 50:10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1
John 10:26Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.
Acts 28:24Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini.
Romans 2:8Lakini kwa wale watafutao mambo yao wenyewe na wale wanaokataa kweli na kuzifuata njia mbaya, kutakuwa na ghadhabu na hasira ya Mungu.
Romans 6:17Lakini Mungu ashukuriwe kwa kuwa ninyi ambao kwanza mlikuwa watumwa wa dhambi, mmekuwa watii kutoka moyoni kwa mafundisho mliyopewa.
Romans 16:26Lakini sasa siri hiyo imefunuliwa na kujulikana kupitia maandiko ya kinabii kutokana na amri ya Mungu wa milele, ili mataifa yote yaweze kumwamini na kumtii