Warumi 3:11
Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu, 2 hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is none that understandeth, there is none that seeketh after God.
In Context
10Kama ilivyoandikwa: 1 “Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja. 2
12Wote wamepotoka, 2 wote wameoza pamoja; 1 hakuna atendaye mema, 2 naam, hakuna hata mmoja.” 1
Cross References
Psalms 14:2Bwana anawachungulia wanadamu chini 2 kutoka mbinguni 1 aone kama wako wenye akili, 2 wowote wanaomtafuta Mungu. 1
Psalms 53:4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: 2 wale ambao huwala watu wangu 1 kama watu walavyo mkate, 2 hao ambao hawamwiti Mungu? 1
Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1
Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1