The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 3 › Romans 3:13

Romans 3:13

“Makoo yao ni makaburi wazi; 2 kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” 1 “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Their throat is an open sepulchre; with their tongues they have used deceit; the poison of asps is under their lips:

In Context

12Wote wamepotoka, 2 wote wameoza pamoja; 1 hakuna atendaye mema, 2 naam, hakuna hata mmoja.” 1

14“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” 1

Read all of Romans 3

Cross References

Job 20:14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, 2 nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 1

Psalms 12:3Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila 2 na kila ulimi uliojaa majivuno, 1

Psalms 52:2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. 2 Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 1

Psalms 140:3Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, 2 sumu ya nyoka iko midomoni mwao. 1

Jeremiah 5:16Podo zao ni kama kaburi lililo wazi, 2 wote ni mashujaa hodari wa vita. 1

Ezekiel 13:7Je, hamjaona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu hapo msemapo, “ Bwana asema,” lakini Mimi sijasema?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 3:12Romans 3Romans 3:14 →