Romans 3:26
Alifanya hivyo ili kuonyesha haki yake wakati huu, ili yeye awe mwenye haki na mwenye kumhesabia haki yule anayemwamini Yesu. 1 Umuhimu Wa Kuwa Na Imani
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 85:10Upendo na uaminifu hukutana pamoja, 2 haki na amani hubusiana. 1
Isaiah 45:21Tangazeni litakalokuwepo, lisemeni hilo, 2 wao na wafanye shauri pamoja. 1 Ni nani aliyetangulia kusema hili tangu zamani, 2 aliyetangaza tangu zamani za kale? 1 Je, haikuwa Mimi, Bwana? 2 Wala hapana Mungu mwingine 2 zaidi yangu mimi, 1 Mungu mwenye haki na Mwokozi; 2 hapana mwingine ila mimi. 1
Zephaniah 3:15Bwana amekuondolea adhabu yako, 2 amewarudisha nyuma adui zako. 1 Bwana, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe; 2 kamwe hutaogopa tena madhara yoyote. 1
Acts 13:38“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.
Romans 4:5Lakini kwa mtu ambaye hafanyi kazi na anamtumaini Mungu, yeye ambaye huwahesabia waovu haki, imani yake inahesabiwa kuwa haki.
Galatians 3:8Maandiko yakitabiri kwamba Mungu angewahesabia haki watu wa Mataifa kwa imani, alitangulia kumtangazia Abrahamu Injili akisema kwamba, “Kwa kupitia kwako mataifa yote yatabarikiwa.”