The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 3 › Romans 3:25

Romans 3:25

Yeye ambaye Mungu alimtoa awe dhabihu ya upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Alifanya hivi ili kuonyesha haki yake, kwa sababu kwa ustahimili wake aliziachilia zile dhambi zilizotangulia kufanywa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whom God hath set forth to be a propitiation through faith in his blood, to declare his righteousness for the remission of sins that are past, through the forbearance of God;

In Context

24wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu.

26Alifanya hivyo ili kuonyesha haki yake wakati huu, ili yeye awe mwenye haki na mwenye kumhesabia haki yule anayemwamini Yesu. 1 Umuhimu Wa Kuwa Na Imani

Read all of Romans 3

Cross References

Exodus 25:17“Tengeneza kifuniko cha upatanisho cha dhahabu safi, chenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, na upana wa dhiraa moja na nusu.

Psalms 22:31Watatangaza haki yake kwa watu 2 ambao hawajazaliwa bado, 2 kwa maana yeye ametenda hili.

Psalms 50:6Nazo mbingu zinatangaza haki yake, 2 kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu. 1

Psalms 119:142Haki yako ni ya milele, 2 na sheria yako ni kweli. 1

John 6:47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele.

Acts 2:23Huyu mtu akiisha kutolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa kwa kujua kwake Mungu tangu zamani, ninyi, kwa mikono ya watu wabaya, mlimuua kwa kumgongomea msalabani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 3:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 3:24Romans 3Romans 3:26 →