The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 4 › Romans 4:7

Romans 4:7

“Wamebarikiwa wale 2 ambao wamesamehewa makosa yao, 2 ambao dhambi zao zimefunikwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Saying, Blessed are they whose iniquities are forgiven, and whose sins are covered.

In Context

6Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo: 1

8Heri mtu yule 2 Bwana hamhesabii dhambi zake.” 1 Haki Kabla Ya Tohara

Read all of Romans 4

Cross References

Psalms 32:1Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, 2 ambaye dhambi zake zimefunikwa. 1

Psalms 85:2Ulisamehe uovu wa watu wako, 2 na kufunika dhambi zao zote. 1

Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1

Micah 7:18Ni nani Mungu kama wewe, 2 ambaye anaachilia dhambi 1 na kusamehe makosa 2 ya mabaki ya urithi wake? 1 Wewe huwi na hasira milele, 2 bali unafurahia kuonyesha rehema. 1

Luke 7:47Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 4:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 4:6Romans 4Romans 4:8 →