Romans 4:6
Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Wamebarikiwa wale 2 ambao wamesamehewa makosa yao, 2 ambao dhambi zao zimefunikwa. 1
Cross References
Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1
Psalms 146:5Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, 2 ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake, 1
Isaiah 54:17Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako 2 itakayofanikiwa, 1 nawe utauthibitisha kuwa mwongo 2 kila ulimi utakaokushtaki. 1 Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana 2 na hii ndiyo haki yao itokayo kwangu,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 33:16Katika siku hizo, Yuda ataokolewa 2 na Yerusalemu ataishi salama. 1 Hili ndilo jina atakaloitwa: 2 Bwana Haki Yetu.’
Matthew 5:3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1
Romans 3:20Kwa hiyo hakuna binadamu hata mmoja atakayehesabiwa haki mbele za Mungu kwa matendo ya sheria, kwa maana sheria hutufanya tuitambue dhambi. 1 Haki Kwa Njia Ya Imani