Romans 7:12
Hivyo basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri ni takatifu na ya haki, tena ni njema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore the law is holy, and the commandment holy, and just, and good.
In Context
11Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya, na kupitia katika hiyo amri, ikaniua.
Cross References
Deuteronomy 4:8Nalo ni taifa gani jingine lililo kubwa hivi lenye kuwa na amri na sheria za haki kama hizi ninazoweka mbele yenu leo?
Nehemiah 9:13“Ulishuka katika Mlima Sinai, ukanena nao kutoka mbinguni. Uliwapa masharti na sheria zile ambazo ni za kweli na haki, pia amri na maagizo mazuri.
Psalms 119:38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, 2 ili upate kuogopwa. 1
Psalms 119:127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, 2 naam, zaidi ya dhahabu safi, 1
Psalms 119:140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, 2 mtumishi wako anazipenda. 1
Romans 3:31Je, basi ni kwamba tunaibatilisha sheria kwa imani hii? La, hasha! Badala yake tunaithibitisha sheria.