Romans 7:11
Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya, na kupitia katika hiyo amri, ikaniua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For sin, taking occasion by the commandment, deceived me, and by it slew me.
In Context
10Nikaona kwamba ile amri iliyokusudiwa kuleta uzima, ilileta mauti.
12Hivyo basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri ni takatifu na ya haki, tena ni njema.
Cross References
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Jeremiah 49:16Vitisho vyako na kiburi cha moyo wako 2 vimekudanganya, 1 wewe unayeishi katika majabali ya miamba, 2 wewe unayedumu katika miinuko ya kilima. 1 Ujapojenga kiota chako juu sana kama cha tai, 2 nitakushusha chini kutoka huko,” 4 asema Bwana. 1
Romans 7:8Lakini dhambi kwa kupata nafasi katika amri, hii ikazaa ndani yangu kila aina ya tamaa. Kwa maana pasipo sheria, dhambi imekufa.
Ephesians 4:22Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu,
James 1:22Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.