Romans 7:25
Ashukuriwe Mungu kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo basi, mimi mwenyewe kwa akili zangu ni mtumwa wa sheria ya Mungu, lakini katika asili ya dhambi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
Cross References
Psalms 107:15Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1
Isaiah 49:13Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; 2 furahi, ee dunia; 2 pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! 1 Kwa maana Bwana anawafariji watu wake, 2 naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa. 1
Romans 6:14Kwa maana dhambi haitakuwa na mamlaka juu yenu, kwa sababu hampo chini ya sheria, bali chini ya neema. 1 Watumwa Wa Haki
Romans 7:15Sielewi nitendalo, kwa maana lile ninalotaka kulitenda, silitendi, lakini ninatenda lile ninalolichukia.
2 Corinthians 9:15Ashukuriwe Mungu kwa karama yake isiyoelezeka.