Romans 7:4
Vivyo hivyo, ndugu zangu, ninyi mmeifia sheria kwa njia ya mwili wa Kristo, ili mweze kuwa mali ya mwingine, yeye ambaye alifufuliwa kutoka kwa wafu, ili tupate kuzaa matunda kwa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 45:10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: 2 Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 1
Isaiah 62:5Kama vile kijana aoavyo mwanamwali, 2 ndivyo wanao + 62:5 Au: wajenzi wako. watakavyokuoa wewe; 1 kama bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi wake, 2 ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe. 1
Matthew 26:26Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu.”
John 6:51Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”
Romans 6:2La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?
Romans 6:22Lakini sasa kwa kuwa mmewekwa huru mbali na dhambi na mmekuwa watumwa wa Mungu, faida mnayopata ni utakatifu, ambao mwisho wake ni uzima wa milele.