Romans 6:2
La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
God forbid. How shall we, that are dead to sin, live any longer therein?
In Context
1Tuseme nini basi? Je, tuendelee kutenda dhambi ili neema ipate kuongezeka?
3Au hamjui ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
Cross References
Psalms 119:104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako, 2 kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu. 2 Nuru Kutoka Kwenye Sheria Ya Bwana 1
Romans 5:11Lakini zaidi ya hayo, pia tunafurahi katika Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kupitia kwake tumepata upatanisho. 1 Adamu Alileta Kifo, Yesu Ameleta Uzima
Romans 7:4Vivyo hivyo, ndugu zangu, ninyi mmeifia sheria kwa njia ya mwili wa Kristo, ili mweze kuwa mali ya mwingine, yeye ambaye alifufuliwa kutoka kwa wafu, ili tupate kuzaa matunda kwa Mungu.
2 Corinthians 5:14Kwa kuwa upendo wa Kristo unatutia nguvu, kwa sababu tunasadiki kuwa mmoja alikufa kwa ajili ya wote, kwa hiyo wote walikufa.
Galatians 6:14Mungu apishie mbali nisije nikajivunia kitu chochote isipokuwa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye ulimwengu umesulubiwa kwangu, nami nimesulubiwa kwa ulimwengu.
Colossians 3:3Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.