Romans 8:20
Kwa kuwa viumbe vyote viliwekwa chini ya ubatili, si kwa chaguo lao, bali kwa mapenzi yake yeye aliyevitiisha katika tumaini,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Kwa maana viumbe vyote vinangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa watoto wa Mungu.
Cross References
Genesis 5:29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.”
Job 12:6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi, 2 wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: 2 wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 1
Isaiah 24:5Dunia imetiwa unajisi na watu wake; 2 wameacha kutii sheria, 1 wamevunja amri 2 na kuvunja agano la milele. 1
Jeremiah 12:11Litafanywa kuwa jangwa, 2 lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu; 1 nchi yote itafanywa jangwa 2 kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali. 1
Hosea 4:3Kwa sababu hii nchi huomboleza, 2 wote waishio ndani mwake wanadhoofika, 1 wanyama wa kondeni, ndege wa angani 2 na samaki wa baharini wanakufa. 1
Romans 8:22Kwa maana twajua ya kuwa hata sasa viumbe vyote vimekuwa vikilia kwa maumivu kama utungu wa mwanamke wakati wa kuzaa.