Romans 8:22
Kwa maana twajua ya kuwa hata sasa viumbe vyote vimekuwa vikilia kwa maumivu kama utungu wa mwanamke wakati wa kuzaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For we know that the whole creation groaneth and travaileth in pain together until now.
In Context
Cross References
Leviticus 26:35Wakati wote nchi itakapobaki ukiwa, itapumzika na kufurahia Sabato zake ambazo haikuzipata mlipokuwa mnaishi humo.
Jeremiah 12:4Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Romans 8:20Kwa kuwa viumbe vyote viliwekwa chini ya ubatili, si kwa chaguo lao, bali kwa mapenzi yake yeye aliyevitiisha katika tumaini,
Revelation 12:2Alikuwa na mimba naye akilia kwa uchungu kwa kuwa alikuwa anakaribia kuzaa.