The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 8 › Warumi 8:26

Warumi 8:26

Vivyo hivyo, Roho hutusaidia katika udhaifu wetu, kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo. Lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioweza kutamkwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Likewise the Spirit also helpeth our infirmities: for we know not what we should pray for as we ought: but the Spirit itself maketh intercession for us with groanings which cannot be uttered.

In Context

25Lakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatuna, basi twakingojea kwa saburi.

27Naye Mungu aichunguzaye mioyo, anaijua nia ya Roho, kwa sababu Roho huwaombea watakatifu sawasawa na mapenzi ya Mungu. 1 Tunashinda Na Zaidi Ya Kushinda

Read all of Warumi 8

Cross References

Psalms 6:3Nafsi yangu ina uchungu mwingi. 2 Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini? 1

Psalms 10:17Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa, 2 wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao, 1

Psalms 55:1Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, 2 wala usidharau hoja yangu. 1

Psalms 77:1Nilimlilia Mungu ili anisaidie, 2 nilimlilia Mungu ili anisikie. 1

Psalms 102:5Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, 2 nimebakia ngozi na mifupa. 1

Psalms 119:81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, 2 lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 8:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 8:25Warumi 8Warumi 8:27 →