Romans 8:27
Naye Mungu aichunguzaye mioyo, anaijua nia ya Roho, kwa sababu Roho huwaombea watakatifu sawasawa na mapenzi ya Mungu. 1 Tunashinda Na Zaidi Ya Kushinda
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 28:9“Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.
Psalms 7:9Ee Mungu mwenye haki, 2 uchunguzaye mawazo na mioyo, 1 komesha ghasia za waovu 2 na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 1
Psalms 44:21je, Mungu hangaligundua hili, 2 kwa kuwa anazijua siri za moyo? 1
Proverbs 17:3Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru ni kwa ajili ya dhahabu, 2 bali Bwana huujaribu moyo. 1
Jeremiah 17:10“Mimi Bwana huchunguza moyo 2 na kuzijaribu nia, 1 ili kumlipa mtu kwa kadiri ya mwenendo wake, 2 kwa kadiri ya matendo yake yanavyostahili.” 1
Jeremiah 29:12Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza.