Romans 9:13
Kama vile ilivyoandikwa, “Nimempenda Yakobo, lakini nimemchukia Esau.” 1 Mungu Hana Upendeleo
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As it is written, Jacob have I loved, but Esau have I hated.
In Context
12si kwa matendo, bali kwa yeye mwenye kuita, Rebeka aliambiwa, “Yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”
14Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!
Cross References
Genesis 29:31Bwana alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Deuteronomy 21:15Kama mwanaume ana wake wawili, naye anampenda mmoja na mwingine hampendi na wote wawili wamemzalia wana wa kiume, lakini mwana mzaliwa wa kwanza ni wa yule mke asiyempenda,
Malachi 1:2Bwana asema, “Nimewapenda ninyi.” “Lakini ninyi mnauliza, ‘Wewe umetupendaje?’ ” Bwana asema, “Je, Esau hakuwa ndugu yake Yakobo? Hata hivyo nimempenda Yakobo,
Luke 14:26“Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.