The Bible Software
bible.software › Warumi › Warumi 9 › Warumi 9:14

Warumi 9:14

Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

What shall we say then? Is there unrighteousness with God? God forbid.

In Context

13Kama vile ilivyoandikwa, “Nimempenda Yakobo, lakini nimemchukia Esau.” 1 Mungu Hana Upendeleo

15Kwa maana Mungu alimwambia Mose, 1 “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, 2 na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”

Read all of Warumi 9

Cross References

Genesis 18:25Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”

2 Chronicles 19:7Basi sasa hofu ya Bwana na iwe juu yenu. Hukumuni kwa uangalifu, kwa kuwa kwa Bwana Mungu wetu hakuna jambo lisilo la haki, upendeleo, wala rushwa.”

Job 34:10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. 2 Kamwe Mungu hatendi uovu, 2 Mwenyezi hafanyi kosa. 1

Job 35:2“Je, unadhani hili ni haki? 2 Wewe unasema, ‘Nina haki mbele za Mungu.’ 1

Psalms 145:17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, 2 na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 1

Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 9:13Warumi 9Warumi 9:15 →