The Bible Software
bible.softwareActsActs 28 › Acts 28:26

Acts 28:26

“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, 1 “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama, lakini hamtaona.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Saying, Go unto this people, and say, Hearing ye shall hear, and shall not understand; and seeing ye shall see, and not perceive:

In Context

25Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho Mtakatifu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Yesu kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1

27Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu; 2 hawasikii kwa masikio yao, 2 na wamefumba macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 na kugeuka nami nikawaponya.’

Read all of Acts 28

Cross References

Deuteronomy 29:4Lakini mpaka leo Bwana hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.

Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1

Isaiah 29:14Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa, 2 kwa ajabu juu ya ajabu. 1 Hekima ya wenye hekima itapotea, 2 nayo akili ya wenye akili itatoweka.” 1

Isaiah 66:4Hivyo, mimi pia nitawachagulia mapigo makali, 2 nami nitaleta juu yao kile wanachokiogopa. 1 Kwa maana nilipoita, hakuna yeyote aliyejibu, 2 niliposema, hakuna yeyote aliyesikiliza. 1 Walifanya maovu machoni pangu 2 na kuchagua lile linalonichukiza.” 1

Ezekiel 3:6Sikukutuma kwa mataifa mengi yenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu ambao maneno yao hutayaelewa. Hakika ningekutuma kwa watu hao, wangekusikiliza.

Matthew 13:14Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: 1 “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama lakini hamtaona. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 28:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 28:25Acts 28Acts 28:27 →