The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 9 › Warumi 9:20

Warumi 9:20

Lakini, ewe mwanadamu, u nani wewe ushindane na Mungu? “Je, kilichoumbwa chaweza kumwambia yeye aliyekiumba, ‘Kwa nini umeniumba hivi?’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Nay but, O man, who art thou that repliest against God? Shall the thing formed say to him that formed it, Why hast thou made me thus?

In Context

19Basi mtaniambia, “Kama ni hivyo, kwa nini basi bado Mungu anatulaumu? Kwa maana ni nani awezaye kupinga mapenzi yake?”

21Je, mfinyanzi hana haki ya kufinyanga kutoka bonge moja vyombo vya udongo, vingine kwa matumizi ya heshima na vingine kwa matumizi ya kawaida?

Read all of Warumi 9

Cross References

Job 16:3Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? 2 Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? 1

Job 36:23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, 2 au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 1

Job 40:2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? 2 Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.”

Job 40:8“Je, utabatilisha hukumu yangu? 2 Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 1

Isaiah 29:16Mnapindua mambo juu chini, 2 kana kwamba mfinyanzi aweza kufikiriwa kuwa kama udongo wa mfinyanzi! 1 Je, kile kilichofinyangwa chaweza kumwambia yule aliyekifinyanga, 2 “Wewe hukunifinyanga mimi?” 1 Je, chungu kinaweza kumwambia mfinyanzi, 2 “Wewe hujui chochote?” 1

Isaiah 64:8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 9:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 9:19Warumi 9Warumi 9:21 →