Romans 9:21
Je, mfinyanzi hana haki ya kufinyanga kutoka bonge moja vyombo vya udongo, vingine kwa matumizi ya heshima na vingine kwa matumizi ya kawaida?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 64:8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1
Jeremiah 22:28Je, huyu mtu Yekonia ni chungu kilichodharauliwa, 2 chungu kilichovunjika, 2 chombo kisichotakiwa na mtu yeyote? 1 Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, 2 na kutupwa kwenye nchi wasioijua? 1
Acts 9:15Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda! Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua, apate kulichukua Jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli.
Romans 9:18Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia yeye atakaye kumhurumia na humfanya mgumu yeye atakaye kumfanya mgumu.
2 Timothy 2:20Katika nyumba kubwa si kwamba kuna vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali pia vimo vyombo vya miti na vya udongo; vingine kwa matumizi maalum, na vingine kwa matumizi ya kawaida.