Romans 9:33
Kama ilivyoandikwa: 1 “Tazama naweka katika Sayuni jiwe la kukwaza watu 2 na mwamba wa kuwaangusha. 1 Yeyote atakayemwamini 2 hataaibika kamwe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 25:20Uyalinde maisha yangu na uniokoe, 2 usiniache niaibike, 2 kwa maana nimekukimbilia wewe. 1
Isaiah 8:14naye atakuwa mahali patakatifu; 2 lakini kwa nyumba zote mbili za Israeli atakuwa 1 jiwe lile linalosababisha watu kujikwaa 2 na mwamba wa kuwaangusha. 1 Kwa watu wa Yerusalemu, 2 atakuwa mtego na tanzi. 1
Isaiah 45:17Lakini Israeli ataokolewa na Bwana 2 kwa wokovu wa milele; 1 kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, 2 milele yote. 1
Joel 2:26Mtakuwa na wingi wa vyakula mpaka mshibe, 2 na mtalisifu jina la Bwana Mungu wenu, 1 ambaye amefanya maajabu kwa ajili yenu; 2 kamwe watu wangu hawataaibishwa tena. 1
Matthew 21:44Yeye aangukaye juu ya jiwe hili atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagwa kabisa.”
Romans 10:11Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”