The Bible Software
bible.softwareRuthuRuthu 1 › Ruthu 1:14

Ruthu 1:14

Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they lifted up their voice, and wept again: and Orpah kissed her mother in law; but Ruth clave unto her.

In Context

13je, mngesubiri mpaka wakue? Mngebakia bila kuolewa mkiwasubiri? La, hasha, binti zangu. Nimepata uchungu kuliko ninyi, kwa sababu mkono wa Bwana umekuwa kinyume nami!”

15Naomi akamwambia, “Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye.”

Read all of Ruthu 1

Cross References

Genesis 31:55Kesho yake asubuhi na mapema, Labani akawabusu wajukuu zake, binti zake na kuwabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.

Deuteronomy 10:20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.

Ruth 2:11Boazi akamjibu, “Nimeambiwa yote uliyomtendea mama mkwe wako tangu mume wako alipofariki, na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi yako ulimozaliwa, ukaja kuishi na watu ambao hukuwafahamu awali.

Proverbs 17:17Rafiki hupenda wakati wote 2 naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 1

Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1

Matthew 10:37“Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ruthu 1:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ruthu 1:13Ruthu 1Ruthu 1:15 →