Ruth 2:11
Boazi akamjibu, “Nimeambiwa yote uliyomtendea mama mkwe wako tangu mume wako alipofariki, na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi yako ulimozaliwa, ukaja kuishi na watu ambao hukuwafahamu awali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ruth 1:14Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.
Ruth 3:10Akamwambia, “Binti yangu, ubarikiwe na Bwana. Wema huu wa sasa ni mkuu kushinda hata ule ulioonyesha mwanzoni. Hukuwakimbilia vijana, wakiwa matajiri au maskini.
Psalms 37:5Mkabidhi Bwana njia yako, 2 mtumaini yeye, naye atatenda hili: 1
Luke 5:11Hivyo wakasogeza mashua zao mpaka ufuoni mwa bahari, wakaacha kila kitu na kumfuata. 1 Yesu Amtakasa Mtu Mwenye Ukoma (Mathayo 8:1-4; Marko 1:40-45)
Luke 14:33Vivyo hivyo, yeyote miongoni mwenu ambaye hawezi kuacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. 1 Chumvi Isiyofaa (Mathayo 5:13; Marko 9:50)
Hebrews 11:8Kwa imani Abrahamu, alipoitwa aende mahali ambapo Mungu angempa baadaye kuwa urithi, alitii na akaenda, ingawa hakujua anakokwenda.