Ruth 1:4
Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kama miaka kumi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili.
5Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.
Cross References
Deuteronomy 23:3Hapatakuwa na Mwamoni au Mmoabu au yeyote wa wazao wao atakayeruhusiwa kuingia katika kusanyiko la Bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.
Nehemiah 13:23Zaidi ya hayo, niliona Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu.