Ruthu 1:5
Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
Isaiah 49:21Ndipo utasema moyoni mwako, 2 ‘Ni nani aliyenizalia hawa? 1 Nilikuwa nimefiwa, tena tasa; 2 nilikuwa nimehamishwa na kukataliwa. 2 Ni nani aliyewalea hawa? 1 Niliachwa peke yangu, 2 lakini hawa wametoka wapi?’ ”
Matthew 22:25Basi palikuwa na ndugu saba miongoni mwetu. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa, na kwa kuwa hakuwa na watoto, akamwachia nduguye yule mjane.