The Bible Software
bible.softwareRuthRuth 2 › Ruth 2:12

Ruth 2:12

Bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD recompense thy work, and a full reward be given thee of the LORD God of Israel, under whose wings thou art come to trust.

In Context

11Boazi akamjibu, “Nimeambiwa yote uliyomtendea mama mkwe wako tangu mume wako alipofariki, na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi yako ulimozaliwa, ukaja kuishi na watu ambao hukuwafahamu awali.

13Kisha Ruthu akasema, “Naomba niendelee kupata kibali machoni pako, bwana wangu. Kwa maana umenifariji na umezungumza kwa ukarimu na mjakazi wako, hata ingawa mimi si bora kama mmoja wa watumishi wako wa kike.”

Read all of Ruth 2

Cross References

Ruth 1:16Lakini Ruthu akajibu, “Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakokwenda nami nitakwenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.

1 Samuel 24:20Ninajua kwamba hakika utakuwa mfalme na ya kwamba ufalme wa Israeli utakuwa imara mikononi mwako.

Psalms 19:11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, 2 katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 1

Psalms 57:1Unihurumie, Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa maana nafsi yangu inakukimbilia. 1 Chini ya uvuli wa mbawa zako nitakimbilia 2 mpaka maafa yapite. 1

Psalms 61:4Natamani kukaa hemani mwako milele, 2 na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako. 1

Psalms 91:4Atakufunika kwa manyoya yake, 2 chini ya mbawa zake utapata kimbilio, 2 uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ruth 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ruth 2:11Ruth 2Ruth 2:13 →