Ruthu 3:10
Akamwambia, “Binti yangu, ubarikiwe na Bwana. Wema huu wa sasa ni mkuu kushinda hata ule ulioonyesha mwanzoni. Hukuwakimbilia vijana, wakiwa matajiri au maskini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ruth 2:4Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “ Bwana awe nanyi!” Nao wakamjibu, “ Bwana akubariki.”
Ruth 2:20Naye Naomi akamwambia mkwewe, “ Bwana ambariki! Hakuacha kuonyesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa.” Pia akamwambia, “Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa.”
1 Corinthians 13:4Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi.