The Bible Software
bible.softwareRuthRuth 2 › Ruth 2:4

Ruth 2:4

Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “ Bwana awe nanyi!” Nao wakamjibu, “ Bwana akubariki.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And behold, Boaz came from Bethlehem, and said unto the reapers, The LORD be with you. And they answered him, The LORD bless thee.

In Context

3Basi akaenda, akaokota mabaki ya nafaka mashambani nyuma ya wavunaji. Ikatokea kwamba alijikuta anafanya kazi kwenye shamba lililokuwa mali ya Boazi, ambaye alitoka kwenye ukoo wa Elimeleki.

5Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?”

Read all of Ruth 2

Cross References

Genesis 18:19Kwa maana nimemchagua yeye, ili awaongoze watoto wake na jamaa yake kufuata njia ya Bwana, kwa kuwa waadilifu na kutenda haki, ili Bwana atimize ahadi yake kwa Abrahamu.”

Numbers 6:24“ ‘ “ Bwana akubariki 2 na kukulinda; 1

Judges 6:12Malaika wa Bwana alipomtokea Gideoni, akamwambia, “ Bwana yu pamoja nawe, Ewe shujaa mwenye nguvu.”

Ruth 4:11Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.

1 Chronicles 2:51Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi. 1

Psalms 129:7kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, 2 wala akusanyaye kujaza mikono yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ruth 2:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ruth 2:3Ruth 2Ruth 2:5 →