Ruth 4:22
Obedi akamzaa Yese, 1 na Yese akamzaa Daudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Obed begat Jesse, and Jesse begat David.
In Context
21Salmoni akamzaa Boazi, 1 Boazi akamzaa Obedi, 1
Cross References
1 Samuel 16:1Bwana akamwambia Samweli, “Utamlilia Sauli mpaka lini, maadamu nimemkataa asiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli? Jaza pembe yako mafuta, ushike njia uende; ninakutuma kwa Yese huko Bethlehemu. Nimemchagua mmoja wa wanawe kuwa mfalme.”
1 Chronicles 2:15wa sita Osemu, na wa saba Daudi.
Matthew 1:6Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. 1 Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. 2