Tito 3:1
Wakumbushe watu kuwanyenyekea watawala na kuwatii wenye mamlaka, wawe tayari kutenda kila lililo jema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 24:21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1
Ecclesiastes 10:4Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, 2 usiache mahali pako, 2 utulivu huweza kuzuia makosa mengi. 1
Jeremiah 27:17Msiwasikilize. Mtumikieni mfalme wa Babeli, nanyi mtaishi. Kwa nini mji huu uwe magofu?
Matthew 23:2“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,
1 Corinthians 15:58Kwa hiyo, ndugu zangu wapenzi, simameni imara, msitikisike, mzidi sana katika kuitenda kazi ya Bwana, kwa maana mnajua ya kuwa, kazi yenu katika Bwana si bure.
Ephesians 2:10Kwa maana sisi ni kazi ya mikono ya Mungu, tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tupate kutenda matendo mema, ambayo Mungu alitangulia kuyaandaa tupate kuishi katika hayo. 1 Wamoja Katika Kristo