Titus 3:2
Wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi, bali wawe wapole, wakionyesha unyenyekevu kwa watu wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To speak evil of no man, to be no brawlers, but gentle, shewing all meekness unto all men.
In Context
Cross References
2 Samuel 22:36Hunipa ngao yako ya ushindi, 2 unajishusha chini ili kuniinua. 1
Proverbs 6:19shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, 3 na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu. 1 Onyo Dhidi Ya Uasherati 1
Proverbs 25:24Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, 2 kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 1
Matthew 11:29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
1 Corinthians 6:10wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyangʼanyi hawataurithi Ufalme wa Mungu.
2 Corinthians 10:1Basi, mimi Paulo ninawasihi kwa unyenyekevu na upole wa Kristo, mimi niliye “mwoga” ninapokuwa pamoja nanyi ana kwa ana, lakini mwenye ujasiri nikiwa mbali nanyi!