Zekaria 1:17
“Endelea kutangaza zaidi kwamba: Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Miji yangu itafurika tena ustawi na Bwana atamfariji tena Sayuni na kumchagua Yerusalemu.’ ” 1 Maono Ya Pili: Pembe Nne Na Mafundi Wanne
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Kisha nikatazama juu, na pale mbele yangu nikaona pembe nne!
Cross References
2 Chronicles 6:6Lakini sasa nimeuchagua Yerusalemu ili Jina langu lipate kuwamo humo, na nimemchagua Daudi kuwatawala watu wangu Israeli.’
Nehemiah 11:20Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake.
Psalms 132:13Kwa maana Bwana ameichagua Sayuni, 2 amepaonea shauku pawe maskani yake: 1
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Isaiah 44:26niyathibitishaye maneno ya watumishi wake, 2 na kutimiza utabiri wa wajumbe wake, 1 “niambiaye Yerusalemu, ‘Itakaliwa na watu,’ 2 niambiaye miji ya Yuda kuwa, ‘Itajengwa,’ 2 na kuhusu magofu yake, ‘Mimi nitayatengeneza,’ 1
Isaiah 51:3Hakika Bwana ataifariji Sayuni, 2 naye atayaangalia kwa huruma magofu yake yote; 1 atayafanya majangwa yake yawe kama Edeni, 2 nazo sehemu zake zisizolimika ziwe kama bustani ya Bwana. 1 Shangwe na furaha zitakuwako ndani yake, 2 shukrani na sauti za kuimba. 1